Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri?
Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana
Huwa napata maswali makubwa matatu?
1: Abiria hawafahamu...
Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na oparesheni na misako.
Novemba...
habari ya jumamosi.
ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi.
mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus.
nawaza...
Haya mambo ya sikukuu haya!!
Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...
Yanga Kigali
Simba Lusaka!
Tuombe heri.
Kwa sasa tunakamilisha tu vibali na matambiko, October kazi inaanza rasmi. Chuma itakuwa inalalia Kigoma mara 4 kwa wiki.
Sasa mji huo mimi ni mgeni. Naomba wanazi tupeane dondoo za mkoa huu kibiashara.
Pia kimakazi maeneo yapi yanafaa. Mitaa ipi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.