Haya mambo ya sikukuu haya!!
Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato...