My Take
Niliwahi sikia vijiweni kwamba hii kitu ni dili sana kumbe Iko live Duniani kwamba inatumika kama tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo kupunguza uzee.
Mamlaka nchini Pakistan zinachunguza mtandao unaoshukiwa kujihusisha na biashara haramu ya kondo la nyuma la binadamu (placenta), ambalo...