Farmers in the villages of Chemba and Kondoa districts have lost hope of any corn harvest this year resulting from extreme hot weather which is drying their fields.
Aziza Hussein, an over 60-year-old woman is among those affected by the weather as her one-acre farm in Sambwa village has been...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
Damn wazee nipo Dom Kondoa Kuna visu hakuna mfano. Nimeamu nifanye yafuatayo
1. Siondoki tena Kondoa.
2. Nimempigia baba mkwe kule Bariadi na
nimemwambia wale Ng'ombe kumi 14 waliowataka Ili waniozeshe binti yao wasahau.
3. Mchepuko wangu wa kinyiramba pale singida siutaki Tena japo roho...
Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika shamba la shule na mbaya zaidi watu wale wameanza kutembelea nyumba za waalimu ili kuiba chchote...
KONDOA
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma.
Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda wakati wa ziara ya...
Heshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za...
Kazi zangu za tofar zimenikutanisha na mtoto wa kirangi mama ntilie.
Huyu mtoto nashindwa kutambua ameniroga au ni michezo brand new anayonipa, sisikii. nikiwa naye simu
naweka mbali naiona disturbance mtoto mtukutu kama wacheza rugby hakubali kushindwa. mimi ndio
nafundishwa mapenzi.
Ubedui...
Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
Jambo lipo Kondoa.
Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana.
#VitendoVinaSauti
#CCMImara
#KaziIendelee
Kwa wenyeji na ambao wameshafika Maeneo hayo, Mimi ni Mwalimu Niko kigoma miaka 25 Sasa, nimepata mtu wa Kubadilishana nae mmoja kanitafuta yupo kondoa dc kata ya hondomairo Mwingine yupo bumbuli (mbelei)...
huko Mimi sio mwenyeji Lakini kwa mazingira ya huku kigoma naona ni changamoto...
Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa.
Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri.
Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka watumishi wa afya katika Halmashauri ya Kondoa pamoja na Halmashauri ya Mji Kondoa kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuwa wananchi hao wanamatumaini makubwa ya kupata huduma kwa haraka na kwa uhakika.
Ameyasema...
Hivi punde pale Kondoa Rais Samia akiwa njiani kuelekea Babati alimuita Waziri wa Kilimo ndugu Bashe na kwa msisitizo akamtaka aongelee kwa kina mambo matatu yahusuyo Sekta ya Kilimo ambayo ni Mbolea, Mbegu na Chakula.
Ajabu, kwa utulivu na umakini mkubwa ndugu Bashe amefanikiwa kuukwepa mtego...
Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu:
Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
Afisa Manunuzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Mussa Kimwaga amemlalamikia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa kutukana na kuwa mbabe kwa watumishi.
Bw. Kimwaga akitema cheche
Tuna ubunifu mwingi sana na ushauri mwingi lakini hatupewi nafasi ya kutoa ushauri mzuri. Ubabe ni mkubwa sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.