kondoo

Kondō Isami (近藤 勇, November 9, 1834 – May 17, 1868) was a Japanese swordsman and official of the late Edo period. He was the fourth generation master of Tennen Rishin-ryū and was famed for his role as commander of the Shinsengumi.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Wananchi Morocco watakiwa kutokununua kondoo kwenye sikukuu ya Eid al- Adha kutokana na mfumuko wa bei

    Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi. Ukame wa miaka saba umepunguza idadi ya mifugo nchini humo, na kusababisha bei ya kondoo kupanda hadi...
  2. K

    Busara za kondoo kwa mbwa mwitu!

    Busara ya Mbowe kwa Samia ni sawa na busara ya kondoo kwa mbwa mwitu. Ambayo kondoo ameishia kuliwa na Mbwa mwitu. Mbowe na siada za ukondoo kwa watu na mafisadi wa nchi hii haziwezekani. Nchi inahitaji Mbwa mwitu wengine kupigania kondoo sio vinginevyo. Hili ni fundisho kuna wakati hutakiwi...
  3. Eli Cohen

    Kwanini kafara au matambiko wanatumika njiwa, kuku, mbuzi au ng'ombe na sio mbwa, kondoo, kanga au paka?

    😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
  4. G

    Nyerere alitamani tuwe na vijana jeuri na wenye kujiamini si waoga, nini kimefanya vijana wetu kuwa kondoo na wenye uoga

    Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na...
  5. briophyta plantae

    Somo la kutafakari kwa kina. Kobe au kondoo?

    Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma. Sasa simba...
  6. N

    INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  7. dr namugari

    Pesa za Umma zinatumika vibaya na tuko kimya kama kondoo

    Nimeona upuuz wa kizmkazi na tukio la kufuja pesa za wananchi wafuja jasho Watu wa kada mbali mblia redio kubwa kubwa zote ziliamia kizimkaz kurusha matangazo live na Leo kukuzanya wakuu wote wa mikoa na wilaya kulazimizhwa kufika zanzibar kizmkazi. Watanganyika umetulia kama kondoo huku...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  9. S

    Hongera kwa machawa. Walaumiwe waliojigeuza kondoo wa kafara

    Taifa letu soon litageuka kuwa si mahala salama pa kuishi. Uhalifu utaongezeka kama kule Haiti kwasababu watu wengi watakata tamaa ya maisha. Hivi Sasa kila kitu kinaenda hovyo hovyo lakini waliopewa dhamana ya uongozi kwa kuwa wao wanakula na kushiba wanachukulia poa tu. Idadi kubwa ya watu...
  10. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  11. Baraka Kasinge

    USIWE KONDOO MWENYE KIBURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea tofauti za mto. Mmoja akitokea mashariki na mwingine magharibi. Walipoufikia ule mto, kila mmoja kwa upande wake alihitaji kuvuka. Kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Basi, walipolifikia lile gogo...
  12. Baraka Kasinge

    SoC03 KONDOO WENYE JEURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea pande tofauti za mto. Mmoja akitokea kusini na mwingine kaskazini, na kila mmoja alihitaji kuvuka ili kuelekea upande wa pili. Walipoufikia ule mto, kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana, zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Cha...
  13. GENTAMYCINE

    Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  14. Hismastersvoice

    NEMC acheni kukamata kondoo walionona pekee

    Tangu NEMC ianze kamatakamata ya wachafuzi wa mazingira taarifa tunazopata ni ukamataji wa wenye baa, NEMC kunguru weusi na madereva wa bodaboda nao ni wachafuzi wa mazingira, hawa bodaboda pikipiki zao wamezifunga vifaa vya muziki ambavyo hutoa sauti kali sana kuliko hixo za baa. Kuna baadhi...
  15. jastertz

    Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

    Habari Wana JF! Nataka nianzishe mradi wa kufuga kondoo dume pamoja na mbuzi dume kwa mkoa wa Tanga, ningependa kujua eneo zuri likiwa karibu na mjini itapendeza zaidi.. na mbinu na je italipa au.
  16. LA7

    Kwanini Biblia inatuita kondoo?

    Kwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
  17. Nyamwage

    Pastors kueni na huruma acheni kuwakamua kondoo wa Bwana

    Habari Nimebaki mdomo wazi baada ya ndugu yangu wa karibu kukata 10% ya mafao yeke ya usitaafu na kumpelekea mchungaji kama fungu la kumi kakata tena vimilioni kadhaa vingine katoa kama sadaka ya malimbuko ya mwisho wa mwaka kanisa linapokea tu hiyo pesa na halijui baada ya miaka kumi ijayo...
  18. F

    Nimeshtuka sana baada ya kuona wanachama kindakindaki wa ACT na CHADEMA wakijiunga na CCM. Hongera Dkt. Samia kwa kuwarejesha kundini kondoo

    Mimi binafsi ni mdau mkubwa sana na muumini mzuri wa siasa za CCM na mara nyingi napenda sana kutembea kwenye matawi ya CCM kujua yanayoendelea. Katika kipindi cha wiki moja tangu lile zuio la kutofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kutenguliwa nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kujua mtazamo...
  19. kavulata

    Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  20. phael vet

    Nahitaji kondoo aina ya Red Maasai

    Salama wadau, Ninahitaji kondoo aina ya Red Maasai kwa ajili ya kufuga mwenye uelewa wa wapi naweza nikapata na bei yake anisaidie.
Back
Top Bottom