SIKU moja mbwa wa mwitu alikuja anywe katika kijito cha maji, akamkuta mwana kondoo mchanga akasimama karibu na kijito. Mbwa wa mwitu akataka kugombana naye apate kumua. Akamwambia, “Mbona unaborugaboruga matope nisipate maji safi?” Kondoo mchanga akamwambia. “Gissi gani nikutilie taka majini...