Kijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias Mahinyila, ambaye ameeleza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Habari njema kutoka Mbeya
Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote.
Updates
Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19 bado wako mahabusu. HOW?
Pia soma
John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.