Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote.
Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama vingine kama CCM na ACT Wazalendo bila shida.
Jana vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vimeripoti...
Msajili wa vyama vya Siasa amepiga Marufuku Kongamano la Chadema mkoani Mbeya lililokuwa kifanyike kesho Jumatatu.
Msajili amesema matamko ya Chadema yanaashiria uvunjifu wa Amani. Amesema kwa mfano Bavicha wanasema " Siku hiyo tutaweka hatma ya nchi yetu Tanzania kama ambavyo Vijana wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.