Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa vijana kuwa kundi kubwa la hizo maiti zinazookotwa.
Kulingana na ushahidi wake mwenyewe mara nyingine...
Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo.
Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St Matthews. Hiyo foleni imechukua dk kama 45 hadi kufika makutano ya Kongowe kwenda Kigamboni.
Kwenda...
Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na uchakavu na kutoboreshwa kwa muda mrefu, TANROADS imetoa maelezo.
Kusoma alichoandika Mdau bofya hapa ~...
Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu, vyombo vinavyopita pale ni vyenye uzito wa hali ya juu kuliko ubora wa barabara malori ni mengi maswali yamenijaa kichwani najiuliza...
Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga.
Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
Anonymous
Thread
baada
barabara
eneo
kongowe
kutokana
lori
mwisho
njia
siku
ubovu
ubovu wa barabara
Viwanja vinauzwa mbagala kongowe
Viwanja vimekatwa mara tatu
ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja
Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja
Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni 10million Tsh na maongezi yapo Kwa mbaaali.
Kwa mawasiliano Piga namba hizi
0688685707
0659446209...
Kuna Zahanati ya Serikali ipo Kibaha Kongowe inaitwa Zahanati ya Kongowe ipo karibu na Shule ya Msingi Kongowe, mama mjamzito akienda kuanza kliniki anaombwa Shilingi 20,000 kwa lazima, kiasi ambacho hakipo kwenye mahesabu yoyote ya huduma.
Ikitokea aliyeombwa hana au amekataa kutoa...
Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road.
WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
Kwa wakazi wa Toangoma Kongowe Mkuranga Vikindu na hata abiria wanaotokea Dar kwenda Lindi, Mtwara, Songea na masasi watakuwa wameshakutana na kero ya kipande cha barabara kutoka Mbagala hadi Kongowe ambapo Barabara ni nyembamba sana.
Kero ya barabara hii hutokea pale mlima wa Kokoto ambapo...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.