korodani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hypersonic WMD

    Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

    Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani. Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu. Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela. Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani...
  2. Dr isaya febu

    Madhara Ya Fangasi Kwenye Korodani

    Fangasi kwenye korodani (scrotal fungal infection) ni maambukizi yanayosababishwa na vimelea vya fangasi, hasa kundi la dermatophytes au candida. Maambukizi haya mara nyingi hujitokeza kwenye ngozi ya korodani na maeneo ya karibu kama mapaja na sehemu za siri Yafuatayo ni madhara ya fangasi...
  3. M

    Madhara ya operation kwenye korodani

    Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe kwenye korodani.
  4. Kidagaa kimemwozea

    Arusha: Afariki kwa kupondwa korodani na uume

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta fedha kiasi cha shilingi 15,000 za kuku aliyoagizwa akauze na rafiki yake wilayani humo...
  5. E

    Naumwa wakuu, nina fangasi sehemu za Siri

    Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani. Sasa selewiii tiba ni nini.
  6. Fabian Vitus

    Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

    Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo. Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa...
  7. Ramsy Dalai Lama

    Sababu ya kwanini kupigwa teke kwenye korodani inauma zaidi ya kuzaa

    Hatimaye nilitafakari swali la zamani: Je, kuzaa ni uchungu zaidi kuliko kupigwa teke kwenye korodani?. Wanawake daima hushikilia kwamba kuzaa ni uchungu zaidi kuliko mwanaume anayepigwa kwenye korodani, lakini wamewezaje kujua hili wakati hawana korodani (balls)? Naam, nimekuja na jibu la...
  8. JanguKamaJangu

    Fahamu Sababu za Maumivu ya korodani na nini ufanye upatapo tatizo hili

    Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo hili. Ni kwamba ugonjwa unaoathiri korodani na kuifanya ivimbe, inaweza kusababishwa na bakteria au virusi. Kutokana na maambukizi ya vimelea hivi...
  9. Mdau jf

    Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  10. herio

    Msaada wa tatizo la korodani ya mtoto mchanga kupanda juu kuelekea tumboni

    Wasalam JF, Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri. Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja sikuchukulia serious kwakuwa alikuwa mdogo nikasema labda bado hayajakua vizuri. Leo hii nimemchunguza...
  11. M

    DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  12. Nihilist

    Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  13. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Wajackoyah: Nikishinda Urais Kenya nitaanzisha biashara ya korodani za fisi kwenda China

    Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo. Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
  14. Notorious thug

    Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini. Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
  15. Mtafiti77

    Napata maumivu ya korodani

    Ndugu habari, Ni mwaka wa pili sasa ninahangaika kutibu korodani bila ya mafanikio. Zimekuwa zikiuma ile staili ya siku za baridi au kama umesimamisha dudu halafu hukuipa haki yake(kufanya mapenzi). Hiyo ni mifano tu ili muweze kuhisi aina ya maumivu. Za kwangu zinauma mfululizo kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom