Ndugu habari,
Ni mwaka wa pili sasa ninahangaika kutibu korodani bila ya mafanikio. Zimekuwa zikiuma ile staili ya siku za baridi au kama umesimamisha dudu halafu hukuipa haki yake(kufanya mapenzi).
Hiyo ni mifano tu ili muweze kuhisi aina ya maumivu. Za kwangu zinauma mfululizo kwa muda mrefu...