korokoroni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa matamshi haya, Dr. Wilbrod Slaa atakaa sana korokoroni! (kama kweli kayatamka maana kuna AI)

    Nisipoteze muda wenu, sikiliza wenyewe. Mods tulikuwa tunajiuliza Huyu mzee kasema nini mpaka wamshikilie hivi? Spare this watu wajue the inside out of this saga
  2. LA7

    Umeshawahi au kunusurika kwenda korokoroni kwa kufuata mkumbo?

    Hii inaweza kumtokea mtu yoyote haijalishi unahusika Moja kwa Moja au lah! Mimi nakumbuka Kuna siku rafiki yangu akuja na mteja anauza dsk 1tb kwa 20 tu basi kwasababu nilimwambiaga nahitaji hivo akaamua kumleta muuzaji kwangu Basi sijui nn kilitokea Ila nikajikuta nimekataa kununua ile zaga...
  3. mdukuzi

    Mwaka 2010 mdogo wangu aliwekwa korokoroni Africa kusini bila kosa sababu ya muonekani wa kihuni mpaka kombe la dunia kilipoisha

    Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga. Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa. Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
  4. figganigga

    LGE2024 Freeman Mbowe afanya Mkutano Kata ya Kyela, Mbeya baada ya kutoka Korokoroni

    Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
  5. Tlaatlaah

    Angetii wito wa polisi bila shuruti kijana huyu wa CHADEMA asingelala korokoroni

    Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea.. Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu...
  6. figganigga

    Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  7. Poker

    Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

    Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke...
  8. dubu

    Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  9. dubu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro adaiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama, aamrisha watu kuwekwa Korokoroni hata siku tano bila kusikilizwa

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
  10. Roving Journalist

    Dar: Polisi Wamekamata yale Magari na Pikipiki Zilizoibwa, Watuhumiwa 60 watiwa Korokoroni

    Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
  11. Roving Journalist

    Morogoro: Selemani Msindi (Afande Sele) adakwa na kulazwa Korokoroni, mdomo wake wamponza

    Msanii mkongwe wa muziki, Selemani Msindi maarufu Afande Sele, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mjini Morogoro kwa mahojiano baada ya video yake iliyokuwa na maudhui ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kwa kile alichodai hakutenda haki kuruhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli. Mkuu wa...
Back
Top Bottom