kozi bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azer Zepha

    Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi. Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
Back
Top Bottom