kozi ngumu duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jangoma

    Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

    Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto. EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Back
Top Bottom