Taaluma yoyote ina watu waliotoboa ila kuna utofauti wa viwango mfano ugumu wa kupata connections, hali ya competition / ushindani, strictness ya taasisi zinazosimamia, n.k.
Mhasibu mwenye CPA (Certified Public Accountant) - kuandaa hesabu za wafanyabiashara / makampuni, kufile kodi zao...
Ajira kwa Sasa ni sawa na tatumzuka, ni uzalilishaji mtupu, kusoma kwa kutegemea kuajiriwa kunaongeza ufukara kwa wasomi, shahada saivi ni sawa na Bure.
Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na elimu ya pesa ambayo haifundishwi mashuleni.