Habari,
Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?
Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje?
Nawasilisha.
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Naombeni msaada pls!
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi...
Wakuu poleni na majukum,
Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi.
Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya :
PHYSICS. " F"
CHEMISTRY " B"
BIOLOGY. "C"
MATHEMATICS "C"
ENGLISH " B"
Kiujumla ana Division Two ya point 19.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.