Wakuu poleni na majukum,
Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi.
Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya :
PHYSICS. " F"
CHEMISTRY " B"
BIOLOGY. "C"
MATHEMATICS "C"
ENGLISH " B"
Kiujumla ana Division Two ya point 19.