kremlin

  1. State Propaganda

    Uingereza yaichimba mkwara Kremlin

    Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo "Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia itaivamia Ulaya Mashariki. “Britain is ready to engage Russia tonight if Russian troops invade...
  2. Makonde plateu

    Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

    Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo...
  3. Messenger RNA

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
  4. A

    Baada ya HIMARS, Mfumo wa Phoenix Ghost Drone unaopelekwa Ukraine Utamfanya Putin aitishe Vikao zaidi Kremlin

    Mambo yanazidi kuwa magumu na kama nilivyokwisha kusema kwamba Putin kashapoteza Dira ya vita Duniani: Vita ya Ukraine, Putin amepoteza Dira, mpaka sasa haelewi afanyeje kumaliza vita aliyoianzisha. Kwa sasa Ukraine inazidi kupata nguvu ya hali ya juu tofauti na mwanzo kabisa, kwa sasa Ukraine...
  5. EINSTEIN112

    Uturuki yaachilia meli ya Urusi iliyobeba nafaka

    Uturuki haikupakua, lakini iliachilia meli ya Urusi iliyokuwa na nafaka za Ukraine zilizoibiwa, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ukraine iliripoti. ‘’Shukrani kwa kuingilia kati kwa mamlaka husika ya Ukraine, meli hii haikuweza kupakuliwa bidhaa zilizoibiwa na iliwekwa kizuizini. Ombi lilitumwa...
  6. A

    CIA inamtesa Putin vikali, yaanza maandalizi ya kumtoa rasmi Kremlin

    Hiki ndicho unachoweza kusema, Marekani sasa yaanzisha propaganda za kwamba Putin ana mpango wa vita ya muda mrefu ili waendelee kupeleka misaada ya kivita na kifedha, lengo likiwa ni kuyakomboa maeneo yote ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi na hatimaye kuingia Moscow moja kwa moja na kumfurusha...
Back
Top Bottom