Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu ambayo haina tafiti ni kwamba, ukitoa ukimwi kinachoua watu wa nyanda za juu kusini ni ulevi...
Wakuu habari zenu,
Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari.
Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
Wakuu habarini za jioni.
Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane.
Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza kisomo kidogo ila kama mjuavyo tena USIMAMIZI Ulikua mgumu sana kutokana na umbali hivyo nikajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.