Krisma, originally known as Chrisma, was an Italian new wave/electronic music duo founded by Maurizio Arcieri (1942–2015) and Christina Moser (1952–2022) in 1976.
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
Mzuka wanajamvi!
Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu.
Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa...
Kuna watu wanajiuliza kwanini Wakristo wanasherehekea Christmas tarehe 25 Desemba? Imeandikwa wapi? Na wengine wanaenda mbali kwa kusema kusherehekea Christmas tarehe 25 Desemba ni ibada ya upagani. Naomba nitoe majibu ya maswali hayo kwa ufupi: Tarehe 25 December ilichaguliwa na Wakristo wa...
1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11).
Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu wote. Kusherehekea Christmas ni udhihirisho kuwa tumeipata furaha kuu katika mioyo yetu.
2. Kutimizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.