krismas

Krisma, originally known as Chrisma, was an Italian new wave/electronic music duo founded by Maurizio Arcieri (1942–2015) and Christina Moser (1952–2022) in 1976.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shuhuda wa kufundishwa kuchukia wakristo: "jirani mkristo ikifika Krismas alituletea chakula tulipokea kwa shukurani nyingi ila akiondoka tunamwaga"

    nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama saazingine kuku Tunaupokea kwa shukurani nyingi sana nyingi mnoo lakini wakitupa mgongo tu daah...
  2. JamiiForums Tanzania Lazima kila mtu ashereheke Krismas

    Hili sio ombi ni AMRI. Kila mtu lazima ashereheke Krismas. Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu. Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi kesho jioni watafanya doria maalum kukagua kila nyumba, kaya, mji na familia. Kubaini kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kupanga Maandamano siku ya Krismas ni mbinu ya watawala kuyaondolea nguvu na hatimaye kuyazika 🇹🇿

    Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi: 
Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia nguvu na hatimaye kulizika. Hii nii old trick, usipoweza kuwashinda kwa wingi wao basi watengenezee...
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu wamshambulia Salah baada ya kuposti picha ya Krismas

    Mzuka wanajamvi! Kama kawaida yake mshambuliaji na winga matata wa timu ya ligi ya uingereza ambayo sasa hivi inaongoza ligi Raia wa Misri Mohammed Salah. Ameposti picha akiwa mbele ya mti wa Christmas na kuwatakia heri ya Krismas kila mtu. Baada ya kuposti yaliyofuata ni mfululizo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Tarehe 25 Desemba Ndiyo Siku Iliyoteuliwa Tusherehekee Krismasi

    Kuna watu wanajiuliza kwanini Wakristo wanasherehekea Christmas tarehe 25 Desemba? Imeandikwa wapi? Na wengine wanaenda mbali kwa kusema kusherehekea Christmas tarehe 25 Desemba ni ibada ya upagani. Naomba nitoe majibu ya maswali hayo kwa ufupi: Tarehe 25 December ilichaguliwa na Wakristo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini tunasherehekea Christmas? Sababu 10 za kiroho na kiafya

    1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11). Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu wote. Kusherehekea Christmas ni udhihirisho kuwa tumeipata furaha kuu katika mioyo yetu. 2. Kutimizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…