JF salaam 🙏
Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler
Sijajua changamoto ni Nini hasa. Mwaka Jana nilidhani huenda umeme ulichangia kuwa na uzalishaji hafifu au usio kidhi...
Habari za muda?
Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei.
Karibuni!
Habari wakuu,!
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara,
Napenda kujuzwa zaidi ni mbegu ipi nzuri kati ya hizi
1:sasso
2: Kroiler
3:kuku wa Malawi
Katika vipengele hv
1:utagaji 2:ustahimilivu wa magonjwa 3: Kasi ya ukuaji
Pia anayefahamu mtiririko wa ulishaji karibu
Karibuni wote Kwa kunipa msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.