Habari wakuu,!
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara,
Napenda kujuzwa zaidi ni mbegu ipi nzuri kati ya hizi
1:sasso
2: Kroiler
3:kuku wa Malawi
Katika vipengele hv
1:utagaji 2:ustahimilivu wa magonjwa 3: Kasi ya ukuaji
Pia anayefahamu mtiririko wa ulishaji karibu
Karibuni wote Kwa kunipa msaada