Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara.
Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane,
Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi...
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate.
Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Hii ni Njia rahisi Sana kwa alie tayari kuacha Kutumia madawa ya kulevya Aina ya Pombe (Alcohol) ni rahisi Sana kama utakuwa umechoshwa na Hali ya unywaji wa Pombe.
Njia hii ni jina la YESU KRISTO kwa maana kitu chochote atendacho mwanadam huanzia rohoni ikiwa na maana yale mawazo yanayo sema...
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza
Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato cha sita sasa hivi nina miaka 26. Nilikua nakunywa sana pombe tena mda wote kiasi kwamba hata nikiamka...
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.?
Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted.
Unapoteza utashi wa akili na inaleta madhara makubwa ndani ya kiungo cha mwili, hvi ata kuacha unywaji...
Wakuu,
Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri.
Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana
Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo
Napenda kutumia
Kilimanjaro lager au
Safari lager au
Konyagi au
K vant au
Grants ,
Maserengeti lite na matakataka mengine ya...
Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:-
Chakula
Sehemu ya kulala
Afya njema
Mavazi
Chakula
Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
Kama ulishawahi kusoma nyuzi zangu mbili tatu hapa JamiiForum utagundua kabisa mimi ni cha pombe. Nikwambie tu mada zote nlizowahi kuzileta hapa ni za ukweli isipokuwa huwa nabadili kidogo maudhui ili kuepuka wazee wa kuunga dots, bado sijawa tayari kujiweka wazi mimi ni nani maana mengi ni ya...
Habari wakuu,
Ninamaliza mwaka kwa hali ya juu kabisa nikiwa na furaha na vijipesa angalau vya kula na kunywa ninachokitaka!
Kama kawaida 2021 ulikuwa mwaka wenye changamoto zake lakini kwa asilimia 85 naweza kusema changamoto zote hizo chanzo chake ni ulevi, Serengeti Lite, Konyagi, Kvant...
Pombe haina faida zaidi ya hasara , vishawishi na kuharibu ratiba. Ila sasa nimejitahidi sana kuiacha nashindwa.
Marafiki zangu 90% ni watumiaji wa pombe. Sasa kila unakokwenda unawakuta au wanakukuta, nashindwa kuacha kabisa.
Naomba mbinu za kuacha tungi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.