kuacha shule

  1. Bushmamy

    Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
  2. Bob Manson

    Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend. Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri...
  3. BARD AI

    Binti aandika barua kuacha shule, auza sare na madaftari

    Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza. “Kwanza alianza...
  4. K

    Kwanini Mtwara wilaya ya Masasi hakuna takwimu za watoto wanaoacha shule?

    Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu. Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa...
Back
Top Bottom