Nisiwe mchoyo wa takwimu na data mzee wenu niliyejizika kwenye takwimu. Ndugu zangu 2.6% ya ndoa huvunjika kwa amri ya ndugu. Hizi ni takwimu za NBS ndugu zangu 'The 2021 Social Institutions and Gender Index (SIGI) - Tanzania Survey Report'
Aidha wengi sana wanaachana kwa ugomvi badala ya...