Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa swali ni je kama ulijua hamuendani kwnini ulimpa nafasi?
Majibu ni mepesi kuwa wengi tunajua kuwa...