Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF.
Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha.
Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...