Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana?
Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo zaidi kwenye mapenzi yenu?
kuna unacho kimiss?
pole kwa mahusiano ya kimapenzi kichefuchefu my...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU
One Man down again
Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga
He rest down because of love
MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia
LONDON BOY
Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje.
Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
Mapenzi yanaumiza sana especially unapopenda pale usipopendwa.
Just imagine upo kwenye mahusiano mapenzi yamenoga ajabu simu,meseji kila dakika. Kila siku mtoto anakuja kuifinyia kwa ndani miuno kama paka shume aliyebalehe juzi mpaka unasema Mungu anipe nini mimi?
Ghafla bin vuu katika hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.