kuagiza gari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Zijue faida za kuagiza gari toka nje ya nchi

    Habari wapendwa, watanzania wenzangu Naomba Leo kuja kwenye jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali nikiwa na mada inayohusiana na faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi. Zifuatazo ni faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi; 1. Gharama nafuu Licha ya kuwa uagizaji wa...
  2. Mad Max

    TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

    Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
  3. jannelle

    Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  4. King Jody

    Kuna tofauti gani kati ya kuagiza gari nje ya nchi au kununua magari yanayouzwa 'yard' hapa nchini kwetu?

    Habari za kushinda wakuu? Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali...
  5. T

    Tunatoa usaidizi na ushauri katika kuagiza gari

    Habari wanajamvi, Nikiwa na passion, uzoefu kiasi ktk mchakato wa kuagiza magari Japan hadi mkononi. Nimedhamiria kama fursa kuleta wazo hapa namna navyoweza kuwasaidia wale wahitaji wa kuagiza magari kutoka nje..ambao pengine wanahitaji usaidizi. Mchakato uko hivi; 1)Tuwasiliane tujadili gari...
  6. and 300

    Kuagiza gari nje ya nchi ujipange (2024/25 FY)

    1. Wale wote wanataka kuagiza magari nje ya nchi mwaka ujao wa fedha wajipange maana Dr wa Uchumi (PhD) First class ameongeza tozo ya kuchangia ujenzi/maendeleo ya reli (1.5% mpaka 2.0% ya CIF) katika kodi utakazolipia. 2. Usiseme hukuambiwa, watu wanataka kununua majumba Dubai na kuongeza...
  7. Mad Max

    Watanzania tupo tayari kupokea Electrical Vehicles (EVs)?

    Wakuu habari. Bado Watanzania wengi tuna wasiwasi kuhusu "transformation" kutoka kwenye magari ya kutumia mafuta (ICE - Internal Combustion Engine) kwenda magari ya Hybrid (pamoja na Plug-in Hybrid) au kumaliza kabisa full Battery Electrical Vehicles (BEV). Nilikua napenda tujaribu kudiscuss...
  8. M

    Gharama za kuagiza gari, kodi za TRA, usajili hadi kumfikia mtumiaji

    Habari za mida hii wanajf. Kama kichwa kinavyosomeka. Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta kwenye bei ya gari ni Tsh. 5,000,000/- na kwenye bei ya jumla sehemu ya Clearing & forwarding kwa port ya...
  9. Magari ya Biashara

    Magari mazuri haya hapa Usiagize tena Japan

    TOYOTA MARK X(EBB)⚡️ YEAR:2005 ENGINE CAPACITY:2490Cc ENGINE CODE: 4GR KILOMETER:49,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER PRICE/BEI:13,800,000 MILLIONS☎️☎️🚘👍.0711707070 ✅🤝
  10. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa. Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa. Nikaambiwa wanaandaa documents...
  11. B

    Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  12. J

    Msaada wa kuagiza gari japan

    Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
  13. Green Beret

    Utaratabu wa kuagiza gari kutoka Japan

    Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk. Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia kampuni za tz instagram inakuwa mara mbili yake! Naomba ushauri kuhusu hizi kampuni, 1. kuhusu gharama...
  14. Rubo Motors Tanzania

    Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

    Hasa kwa watu wa Kanda ya Ziwa na mikoa Jirani. Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors Tanzania" magari tuagizayo ni Fuso, Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea. Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo...
  15. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  16. M

    Naomba msaada nataka kuagiza gari

    Wakuuu nimejichangachanga nataka kuagiza Toyota Raumu naomba wataalam msaada wa mambo mawili 1. Naomba waliowahi kununua gari kupitia Hizi website mbili Realmotor.jp na Sbimotor.com Nimeangalia humo nimekuta Wanauza magari cheap sana ila sijasikia watanzania wakizitaja hizi website. Naomba...
  17. A

    Kuagiza gari na autocom Japan

    Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
  18. World Logistics Company

    Unapotaka kuagiza gari au chochote nje ya nchi, usikurupuke..

    Habari za wikiendi pevu wadau wa JF, Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali. Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
  19. KIMOMWEMOTORS

    Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  20. sky soldier

    Wakenya, nikiwa mtanzania je naweza kuagiza gari lifikie kenya ila nilitumie Tz, huku hali imekuwa mbaya

    Hali ya Tz kwa sasa, Ukaguzi wa gari unafanyika hapa hapa Tanzania na sio kufanyikia kwenye nchi unayoagizia gari kama japan. sheria mpya ni kwamba gari halikaguliwi kwenye nchi linapotoka, linakaguliwa likifika hapa tz. Sasa mimi nataka gari ikaguliwe huko huko japan, sitaki gari niliyoagiza...
Back
Top Bottom