Baada ya Mchele tuliolima wenyewe hapa nchini kupanda bila ya sababu za msingi waziri wa viwanda na biashara alisema atatoa vibali vya kuagiza Mchele uje nchini na kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo. Lakini Cha kushangaza ndio imekuwa kimya na Hadi Sasa haieleweki huo Mchele umeshafika au...