Naomba kuuliza hivi nimenunua mzigo kwakutumia application ya alibaba kutoka china then mzigo akapewa Agent. Agent akanitajia gharama zake.
1.Je, mzigo ukifika nitahitajika kulipia kodi?
2. Au kodi inakuwa imejumuishwa kwenye gharama ya Agnt.
3.Au kodi inakatwa kwa bidha kubwa kama pikipiki...