Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni.
Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo hakunyoosha maelezo kuwa tunapoteza fedha za kigeni ambazo tungeweza kuzitumia kwa mambo mengine na...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara ya Kilimo na Wizara ya Biashara kuvipa kazi viwanda vya ndani ya Nchi ikiwemo Kilombero Sugar ili vizalishe sukari ya majumbani na viwandani na ethanol kwa ajili ya nishati ya kupikia huku akisema kuagiza tani 250000 ya sukari nje ya...
Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.
BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari kwa kampuni za wazalishaji nchini, badala yake baadhi ya kampuni hizo zilichelewa zenyewe kuchukua vibali hivyo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania, Profesa Kenneth Bengesi...
Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.