kuahirishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Torra Siabba

    Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  2. Waufukweni

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  3. Powder

    Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  4. Waufukweni

    Ahmed Ally awaomba radhi mashabiki wa Simba, awasihi kurejea nyumbani kwa utulivu baada ya mechi kuahirishwa

    Meneja wa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasilisha ujumbe wa pole kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuahirishwa kwa mechi yao leo. Kupitia taarifa yake, Ahmed Ally ameomba radhi kwa mashabiki wote wa Simba, hususan wale waliotoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kushuhudia mchezo huo...
  5. MwananchiOG

    Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

    Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu. Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
  6. Suley2019

    CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho. Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...
  7. Roving Journalist

    Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola kukutana Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili

    Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19. Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
  8. Lady Whistledown

    Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  9. Ngongo

    Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

    Bwana Shaka msemaji wa CCM Taifa ilitarajiwa angekuwa na kikao na wanahabari, lakini kwa mshangao wa wengi press conference imesogezwa mbele. Ni dhahiri mada kuu ni mustakabali wa Spika wa Bunge Mh Ndugai. Najaribu kufikiri sababu za kuhairisha press conference najikuta nawaza tofauti na...
  10. Determinantor

    Tetesi: Mechi ya Kagera Sugar Vs Simba kuahirishwa Leo?

    Haka kaugonjwa kamekolea kweli kweli... Wizara ya Afya itoe tamko sasa.
  11. Erythrocyte

    Kuahirishwa mara kwa mara kwa hukumu za kesi zinazogusa masikio ya wengi maana yake nini?

    Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi. Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika...
Back
Top Bottom