NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025.
Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi.
Bila...
Huu ndio mtazamo wangu, na ili ukweli ujulikane, iundwe kamati ya uchunguzi na kamati hiyo iundwe na CAF au FIFA na wajumbe baadhi watoke nje ya nchi na ikiwezekana wajumbe wote watoke nje ya nchi(wasiwe watanzania).
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya...
baada ya huu mkanganyiko nimeendelea kutafuta marejeo ya kisheria yanayohusu mpira wa soka duniani.
bado sijaona kanuni hizi za bodi ya ligi yetu walizitohoa kutokea wapi.
na matokeo yake bodi imejipa mamlaka isiyohusika nayo.
kama huo ndio ukweli basi TFF na bodi ya ligi zitafaa kifumuliwa na...
Ahlan bik
Football ukipenda iite Soccer ni mchezo wa kiungwana sana unaozingatia sheria , kanuni na taratibu zilizowekwa na shirikisho la mpira duniani kwa maana ya FIFA na shirikisho la mpira katika nchi husika.
Kanuni zipo wazi kabisa na uongozi wa Yanga unafahamu fika kuwa timu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.