BODI hii imejaa wahuni sana sana sijui tunaelekea wapi. Hawa jamaa ukisoma barua zao wanasema wamehairisha kwa sababu ya uchunguzi.
Hapohapo wanasema watatangaza siku nyingine ya marudiano.
Kama mmeshaamua kurudiwa unachunguza nini? huu ni ushenzi na uhuni si mngesema tu tumehairisha kwaajili...
1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda...
MAONI YANGU JUU YA KUAHIRISHWA KWA MECHI YA WATANI WA JADI KATI YA YANGA DHIDI YA SIMBA MAARUFU KAMA KARIAKOO DERBY YA TAR. 8/03/2025
Naanza kwa kuwasalimia wadau na wapenzi wa soka.
Naomba nieleweke kwamba ninaandika makala hii nikiwa nimeweka ushabiki wangu pembeni.
Iko hivi, yaliyotokea...
Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.