Wanachama wa CHADEMA, jana walionyesha kutoridhika na kukasirishwa na sababu za kuahirishwa kesi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa chama hicho.
Kesi hiyo iliahirishwa kwa madai kuwa shahidi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Bara, Hawa...