Kwa utafiti wangu mdogo nimegundua watu wengi hasa wanawake huleta dada wa kazi ndani ili kujionesha ati wana pesa kwa kuwa wana wasaidizi hawa.
Hivi hawa wadada wa kazi wanafanyaga jambo Gani la maana au gumu ambalo mwanamke asilifanyaje.
Yaani kulea, kulisha na kufulia mtoto hadi uajiri mdada...