Wana jukwaa heri nyingi kwenu nyote.
Tuko hapa jukwaani kutaniana, kukosoana, Kushauriana, kuelekezana kuhabarishana na mengine mengi.
Mara ya kwanza kujiunga hapa jf ilikuwa 2012 yote Kwa yote nilipendezwa na kuvutiwa na hayo machache niliyotaja hapo juu.
Miezi michache iliyopita niliandika...