Kuna mtu fulani ni fundi ujenzi anaamini sana katika uchawi ukimpa mchongo wa kazi lazma apande basi akaroge ili amteke boss safari hii wamempiga hadi chale za usoni 😃 ili awe na mvuto (nyota)
Tujifunze kuamini ubora wa kazi unaongea, kizuri kinajiuza na kuonekana kama kazi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.