Wivu ni sehemu ya mahusiano ila ukizidi huleta ugonjwa wa kihisia na matokeo yake ni muathirika kujikuta anafanya maamuzi ya ajabu na yenye kushangaza Dunia.
Ukiona mtu anafikia hatua ya kumfanyia unyama mpenzi wake mpaka kumtoa uhai mbali na sababu nyingine nyingi ila kubwa moja wapo itatajwa...