Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Jaji Mbarouk S. Mbarouk amesisitiza kuwa ni kosa kisheria mtu mmoja kujiandikisha jina lake la kupiga kura zaidi ya mara moja kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.
Mbarouk ameyasema hayo leo 15 Desemba 2024 katika uzinduzi wa mkutano wa tume na...
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha.
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni ikisema daftari la lililotumika kuandikisha watu yamekusanywa na kupelekwa katika ofisi za jiji kinyume...
Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27.
Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana B, Kata ya Katandala, Manispaa ya Sumbawanga, kujitokeza kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba...
Kama mwenendo wa kujiandikisha Kwenye daftari la mkazi kwaajili ya kupiga kura Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unasua sua hivi,vipi uchaguzi mkuu mwakani?
Wananchi wengi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mbeya nikama wamesusia zoezi hili la kujiandikisha wakidai ni kupoteza muda wao tu...
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?
Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
Wakuu,
Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo.
Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.