Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya.
Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada.
Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si...