Moment of Silence katika Mkutano wa 156 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kumkumbuka Mkurugenzi Mkuu Mteule wa WHO AFRICA, Marehemu Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile.
Leo ni siku ya kihistoria, ambapo kama Dkt. Faustine angekuwa hai, angelipitishwa rasmi na kuanza majukumu yake kama Mkurugenzi...