kuanza

The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.

It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
  2. J

    Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
  3. Masharti ya Hamas kuanza kutekelezwa mwanzo.Malori 200 ya misaada kila siku kwa siku nne kuingia Gaza

    Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku. Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
  4. Dkt. Tulia awasili Uswisi kuanza majukumu ya Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU. Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt...
  5. Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Hello JF Members, I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi. Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa...
  6. Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  7. Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  8. Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

    Huwa sipendi maneno mengi
  9. Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  10. Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Magharibi Kuanza Januari 2024

    Serikali imeeleza kuwa itaanza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Magaharibi ifikapo mwezi Januari mwaka 2024 Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalu, Zainab Katimba, aliyeuliza ni lini Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi itaanza kujengwa, Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ametoa majibu...
  11. DOKEZO Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  12. K

    Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  13. R

    Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  14. N

    Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

    Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na...
  15. Muhimbili kuanza kutibu Wanaume wenye matiti

    HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mlongazila, imesema huduma ya kupunguza uzito na upasuaji rekebishi zinazotarajiwa kufanyika hospitalini huko, zitahusisha pia wanaume wenye maumbile kama matiti. Mkuu wa Idara ya Upasuaji MNH-Mloganzila, Dk. Eric Muhumba, alibainisha hayo na kueleza kuwa...
  16. Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya. Kwa njia hii, ikiwa unamwagilia kichwa mara ya kwanza, damu huinuka kwa kichwa haraka na mishipa inaweza kupasuka. Matokeo...
  17. R

    Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

    Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB. Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
  18. Israel yaagiza watu waondoke Sderot huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote

    Operesheni bado iko pale pale.... ======= The evacuation of residents from the Gaza border town of Sderot is set to begin in the coming hours. The municipality emphasizes that evacuation is not mandatory, but that it recommends residents leave the area. Residents are being moved to hotels in...
  19. Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa . Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
  20. Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

    Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu. Kitu wengi wasichokifahamu, hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…