Miaka mitano iliyopita nilipata wazo la kugeuza taaluma yangu ya ualimu na passion ya usomaji, kujifunza na kufundisha kuwa ajira. Nikawa na mpango wa kufundisha Kwenye radio, TV, semina, makongamano, vyuo na taasisi mbalimbali na kuzalisha podcast zangu.
Nikamshirikisha rafiki yangu mmoja...