Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara yanasumbua basi kifaida kikawa kinakidhi mahitaji.
Likaja wazo la ushauri mbalimbali la kuikopea biashara...