Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika chama hicho amesema hawezi kutoboa kuanzisha chama kipya kwa sababu wahusika wa usajili wa vyama vya siasa nchini hawawezi kukubali kutokana na kile kinachodaiwa kuwa...
Wakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
Umefika muda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslahi yao bali siyo ya nchi.
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM, naamini utaondoka na wanachama wengi, tumechoka na ukondoo wa Mbowe tunataka siasa ya uanaharakati vitendo, hata Mozambique...
Habari WanaForums
Ni jambo ambalo nimelifikiria tu kuwa inakuwaje kama wanachuo au wasomi waliopitia chuo katika course zote kuanzisha chama cha kisiasa ambacho kitajumuisha ngazi zote za elimu yaani diploma, degree, na hata masters kwa lengo la kuleta chama kinachoweza kuleta hoja kuchanganua...
Habar wana nzengo,
Kumekuwa na matamanio makubwa sana kwa wananchi kutaka kuona mabadiliko ya kiutawala kwa kuamini ya kwamba utawala uliopo madarakani hivi sasa unakiuka misingi ya dwmokrasia, haki na utawala bora
Sasa basi kupitia mitazamo hiyo ya wananchi, leo hii nimeamua kuja na hoja...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani.
Kama hiyo haitoshi LISU alifikia hatua ya kusema kwamba Kuna kila dalili kuwa fedha Hizo zinatoka...
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya.
Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
Habari JF,
Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?
Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama?
Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu.
2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda?
• Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
Kuna kila dalili Chadema imepata doa ambalo haliwezi kufutika. Mbowe anatuhumiwa kwa kesi ya Ugaidi kosa ambalo ni hatari sana kwa usalama wa nchi, ni ukweli usio na shaka kuwa Japo bado ni tuhuma lkn ni tuhuma nzito.
Sio tu ni pigo kwa Mbowe mwenyewe lakini pia lina athari ya moja kwa moja kwa...