kuanzisha supermarket

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinau Michael

    Msaada wa Jinsi ya kuanzisha supermarket

    Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market)
Back
Top Bottom