Wakubwa nisaidieni Je, unaweza kuwaweka kuku wa 4 wenye vifaranga kwenye chumba kimoja na watoto wao?
Maana kuku wangu wameatamia wapo wa 4 so nataka kuwatenga na hawa wengine ambao bado hawajaanza kutaga so ni sahihi kuwaweka kwenye chumba kimoja maana chumba kipo?